Si ruhusa kwa yeyote kueneza picha ya al-´Abbaad II

Siku chache zilizopita kuna Shaykh mmoja kutoka Yemen aliyenitembelea akiwa pamoja na wanawe na marafiki zake. Baada ya matembezi mmoja katika watoto wake akaeneza picha yangu mimi na yeye. Nimekwishazindua ya kwamba simruhusu yeyote kunichukua picha wala kueneza picha yangu. Isitoshe ananisifu kwa njia ambayo sistahiki.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://twitter.com/OAlbadr/status/676084504986042368
  • Imechapishwa: 27/08/2020