Aende kuswali mkusanyiko katika msikiti mwingine?

Swali: Mtu akisikia kuwa imamu amemaliza kuswali na akajua kuwa msikiti mwingine anaweza kuwahi kuswali pamoja nao. Je, anatakiwa kwenda huko?

Jibu: Ikiwa ni wepesi kwake aende na kuswali na mkusanyiko. Hapo ni pale ambapo ikiwa anaweza na anajua. Lakini ikiwa hajui au ana shaka, basi aswali na ndugu ambao itakuwa wepesi au aswali peke yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22701/هل-يذهب-من-فاتته-الجماعة-لمسجد-اخر
  • Imechapishwa: 03/08/2023