Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye anachelewesha swalah makusudi?

Jibu: Aonywe na afunzwe kwamba ni dhambi na khatari na kwamba ni katika kufuru. Kwa sababu wako wanazuoni wenye kuona kwamba akichelewesha mpaka ukatoka nje wakati wake basi anazingatiwa kuwa ni kafiri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22694/ما-حكم-من-يتعمد-تاخير-الصلاة
  • Imechapishwa: 03/08/2023