Swali: Je, nitoke na Jamaa´at-ut-Tabliygh kwa kuzingatia ya kwamba sijaona jambo lolote libaya kwao?
Jibu: Inajuzu ikiwa utawafundisha Tawhiyd na elimu ya Kishari´ah. Wao – Allaah awaongoze – hawajali elimu ya Kishari´ah. Ikiwa utatoka nao kwa sababu ya kuwafundisha, Allaah anaweza akawaongoza katika elimu na masomo, jambo ambalo ni zuri.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Buhuuth al-Islaamiyyah (72/78)
- Imechapishwa: 02/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)