95 – Zayd bin Aslam amesema:
”Ibn ´Umar alipita karibu na mchungaji akasema: ”Je, kuna kondoo anayefaa?” Akasema: ”Mmiliki wake hayuko hapa.” Ibn ´Umar akasema: ”Utamweleza kuwa ameliwa na mbwa mwitu.” Bwana akainua macho yake mbinguni na kusema: ”Allaah yuko wapi?” Ndipo Ibn ´Umar akasema: ”Naapa kwa Allaah! Mimi ndiye nina haki zaidi ya kukuuliza swali hilo.” Ndipo akamnunua yule mchungaji na kondoo, na baadaye akamwacha huru na akampa kondoo yule.”[1]
[1] Mtunzi ameisimulia katika asili kupitia kwa Abu Musw´ab az-Zuhriy: ´Abdullaah bin al-Haarith al-Jamhiy ametuhadithia: Zayd bin Aslam ametuhadithia… Cheni ya wapokezi hii ni nzuri. Mbali na ´Abdullaah bin al-Haarith al-Jamhiy al-Haatwibiy, ambaye ameelezwa katika “Taqriyb-ut-Taqriyb” kuwa ni mkweli, wapokezi wake wengine wote ni madhubuti na ni wanaume wa al-Bukhaariy na Muslim.
- Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 117
- Imechapishwa: 12/07/2024
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
95 – Zayd bin Aslam amesema:
”Ibn ´Umar alipita karibu na mchungaji akasema: ”Je, kuna kondoo anayefaa?” Akasema: ”Mmiliki wake hayuko hapa.” Ibn ´Umar akasema: ”Utamweleza kuwa ameliwa na mbwa mwitu.” Bwana akainua macho yake mbinguni na kusema: ”Allaah yuko wapi?” Ndipo Ibn ´Umar akasema: ”Naapa kwa Allaah! Mimi ndiye nina haki zaidi ya kukuuliza swali hilo.” Ndipo akamnunua yule mchungaji na kondoo, na baadaye akamwacha huru na akampa kondoo yule.”[1]
[1] Mtunzi ameisimulia katika asili kupitia kwa Abu Musw´ab az-Zuhriy: ´Abdullaah bin al-Haarith al-Jamhiy ametuhadithia: Zayd bin Aslam ametuhadithia… Cheni ya wapokezi hii ni nzuri. Mbali na ´Abdullaah bin al-Haarith al-Jamhiy al-Haatwibiy, ambaye ameelezwa katika “Taqriyb-ut-Taqriyb” kuwa ni mkweli, wapokezi wake wengine wote ni madhubuti na ni wanaume wa al-Bukhaariy na Muslim.
Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 117
Imechapishwa: 12/07/2024
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/98-kondoo-na-mchungaji/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)