96 – ´Abdullaah bin Salaam amesema:
”Allaah alianza kwa kuumba ardhi, ambapo akaumba ardhi saba siku ya jumapili na jumatatu. Akakadiria riziki zake siku ya jumanne na jumatano. Akalingana juu ya mbingu na akaziumba ndani ya siku mbili.”
Cheni yake ya wapokezi ni Swahiyh[1].
[1] Hivo ndivo alivosema. Ameipokea Ibn Mandah katika ”Kitaab-ut-Tawhiyd” (1/27) – muswada): al-Hasan bin Yuusuf at-Twaa-ifiy ametukhabarisha huko Misri: Ibraahiym bin Marzuuq ametuhadithia: ´Uthmaan bin ´Umar ametuhadithia… al-´Iraaqiy amemtuhumu uwongo at-Twaa-ifiy, rejea katika ”Lisaan-ul-Miyzaan”.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 117
- Imechapishwa: 12/07/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
96 – ´Abdullaah bin Salaam amesema:
”Allaah alianza kwa kuumba ardhi, ambapo akaumba ardhi saba siku ya jumapili na jumatatu. Akakadiria riziki zake siku ya jumanne na jumatano. Akalingana juu ya mbingu na akaziumba ndani ya siku mbili.”
Cheni yake ya wapokezi ni Swahiyh[1].
[1] Hivo ndivo alivosema. Ameipokea Ibn Mandah katika ”Kitaab-ut-Tawhiyd” (1/27) – muswada): al-Hasan bin Yuusuf at-Twaa-ifiy ametukhabarisha huko Misri: Ibraahiym bin Marzuuq ametuhadithia: ´Uthmaan bin ´Umar ametuhadithia… al-´Iraaqiy amemtuhumu uwongo at-Twaa-ifiy, rejea katika ”Lisaan-ul-Miyzaan”.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 117
Imechapishwa: 12/07/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/99-uumbajwi-wa-siku-za-wiki/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)