94 – Ibn ´Abbaas amesema:
”Ataita mwitaji kabla ya Saa: ”Imekujieni Saa.” Watamsikia waliohai na waliokufa. Kisha ndipo Allaah atashuka katika mbingu ya chini.”[1]
Ameipokea Ibn-ul-Mubaarak. Wapokezi wake ni wenye kuaminika.
[1] Mtunzi ameisimulia kupitia kwa Ibn-ul-Mubaarak, kutoka kwa Sulaymaan at-Taymiy, kutoka kwa Abu Nadhwrah. Cheni ya wapokezi ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti za Muslim.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 112
- Imechapishwa: 12/07/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
94 – Ibn ´Abbaas amesema:
”Ataita mwitaji kabla ya Saa: ”Imekujieni Saa.” Watamsikia waliohai na waliokufa. Kisha ndipo Allaah atashuka katika mbingu ya chini.”[1]
Ameipokea Ibn-ul-Mubaarak. Wapokezi wake ni wenye kuaminika.
[1] Mtunzi ameisimulia kupitia kwa Ibn-ul-Mubaarak, kutoka kwa Sulaymaan at-Taymiy, kutoka kwa Abu Nadhwrah. Cheni ya wapokezi ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti za Muslim.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 112
Imechapishwa: 12/07/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/97-mwito-kabla-ya-qiyaamah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)