94 – Ibn ´Abbaas amesema:

”Ataita mwitaji kabla ya Saa: ”Imekujieni Saa.” Watamsikia waliohai na waliokufa. Kisha ndipo Allaah atashuka katika mbingu ya chini.”[1]

Ameipokea Ibn-ul-Mubaarak. Wapokezi wake ni wenye kuaminika.

[1] Mtunzi ameisimulia kupitia kwa  Ibn-ul-Mubaarak, kutoka kwa Sulaymaan at-Taymiy, kutoka kwa Abu Nadhwrah. Cheni ya wapokezi ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti za Muslim.

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 112
  • Imechapishwa: 12/07/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy