Swali: Ni ipi hukumu ya kuzidisha katika kusema “Subhaan Allaah” na mfano wake katika Adhkaar za baada ya swalah?
Jibu: Inajuzu. Lakini asinuie kwamba ni miongoni mwa zile Tasbiyh zilizofungamanishwa, bali kwamba ni Tasbiyh zilizoachiwa na kwamba analipwa thawabu ya Tasbiyh zilizoachiwa.
Swali: Akichelea kufikiri kwamba ziada hiyo ni Sunnah safi na kwamba imesuniwa kuleta Dhikr kwa sauti ya juu baada ya kumaliza swalah?
Jibu: Akichelea hivo basi asizidishe.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 35
- Imechapishwa: 25/07/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuzidisha katika kusema “Subhaan Allaah” na mfano wake katika Adhkaar za baada ya swalah?
Jibu: Inajuzu. Lakini asinuie kwamba ni miongoni mwa zile Tasbiyh zilizofungamanishwa, bali kwamba ni Tasbiyh zilizoachiwa na kwamba analipwa thawabu ya Tasbiyh zilizoachiwa.
Swali: Akichelea kufikiri kwamba ziada hiyo ni Sunnah safi na kwamba imesuniwa kuleta Dhikr kwa sauti ya juu baada ya kumaliza swalah?
Jibu: Akichelea hivo basi asizidishe.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 35
Imechapishwa: 25/07/2020
https://firqatunnajia.com/77562-2/