Swali: Kuna mtu aliweka nadhiri ya kuchinja kondoo wa aina maalum lakini kondoo huyoa akafa pasi na yeye kuzembea. Je, inamlazimu kutafuta badali?

Jibu: Mtu ameteua kichinjwa kisha akafa pasi na kuzembea wala kuvuka mpaka, basi hakuna kinachomlazimu. Iispokuwa ikiwa kichinjwa hicho ni cha nadhiri. Katika hali hiyo ni lazima atimize nadhiri yake. Ama ikiwa amemmuwajibikia kwa njia ya kumlenganisha kisha akafa pasi na yeye kuzembea basi hakuna kinachomlazimu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (25/99)
  • Imechapishwa: 25/07/2020