67. Wakati wa Mtume kulipiganwa vita vingapi?

Swali 67: Ni vita vingapi vilivyotokea kwa jumla?

Jibu: Ishirini na saba. Ni kama vifuatavyo kwa mpangilio wa wakati:

1 – Abwaa’.

2 – Buwaatw.

3 – ´Ushayrah.

4 – Vita vya kwanza vya Badr.

5 – Vita vikubwa vya Badr.

6 – Kadar.

7 – Suwayq.

8 – Ghatwafaan.

9 – Dhuu Amar.

10 – Bahraan.

11 – Uhud.

12 – Hamraa’-ul-Asad.

13 – Banuun-Nadhwiyr.

14 – Dhaat-ur-Riqaa´.

15 – Vita vya mwisho vya Badr.

16 – Dawmat-ul-Jandal.

17 – Khandaq.

18 – Banuu Lihyaan.

19 – Dhuu Qarad.

20 – Banuul-Mustwaliq.

21 – Hudaybiyah.

22 – Khaybar.

23 – Vita kwa ajili ya kukidhi ´Umrah.

24 – Ufunguzi wa Makkah.

25 – Hunayn.

26 – Twaaif.

27 – Tabuuk.

Kuna maoni tofauti katika baadhi ya mpangilio huu. Wale wasiozingatia vita vya Hudaybiyah na vita wakati wa kulipa ´Umrah wanaona kuwa ni vita ishirini na tano.

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 141
  • Imechapishwa: 02/11/2023