Swali 65: Je, analipwa thawabu mjinga mzushi kwa Bid´ah yake ikiwa hajui haki au haikubaliwi kutoka kwake licha ya kwamba nia yake ilikuwa nzuri?

Jibu: Halipwi thawabu kwa kitendo hicho. Kwa sababu hakikuwekwa katika Shari´ah. Hata hivyo anasalimika kutokana na madhambi kutokana na udhuru wa ujinga peke yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah, uk. 172
  • Imechapishwa: 30/06/2024
  • taaliki: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy