Ikiwa mtu ataanza kusoma Qur-aan kwa kisomo cha mmoja wa wasomaji, basi na aendelee na kisomo hicho muda wa kuwa maneno bado yana uhusiano. Ikiwa uhusiano huo umeisha, basi anaweza kusoma moja ya kisomo cha wale saba. Lililo bora zaidi ni kuendelea na kile kisomo cha kwanza katika kikao hicho.
- Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 61
- Imechapishwa: 02/09/2026
Ikiwa mtu ataanza kusoma Qur-aan kwa kisomo cha mmoja wa wasomaji, basi na aendelee na kisomo hicho muda wa kuwa maneno bado yana uhusiano. Ikiwa uhusiano huo umeisha, basi anaweza kusoma moja ya kisomo cha wale saba. Lililo bora zaidi ni kuendelea na kile kisomo cha kwanza katika kikao hicho.
Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 61
Imechapishwa: 02/09/2026
https://firqatunnajia.com/56-kuchanganya-vile-visomo-saba/