6 – Katika ”Taariykh Dimashq” Ibn ´Asaakir amepokea katika mnasaba wa kusulubiwa Ibn-uz-Zubayr kuwa:
”Mama yake (Asmaa´ bint Abiy Bakr) alikuja. Uso wake ulikuwa unameremeta na mwenye kutabasamu.”
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 98
- Imechapishwa: 26/09/2023