48. Uso wa Asmaa´ wenye kumeremeta na wenye tabasamu

6 – Katika ”Taariykh Dimashq” Ibn ´Asaakir amepokea katika mnasaba wa kusulubiwa Ibn-uz-Zubayr kuwa:

”Mama yake (Asmaa´ bint Abiy Bakr) alikuja. Uso wake ulikuwa unameremeta na mwenye kutabasamu.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 98
  • Imechapishwa: 26/09/2023