5 – Abu Asmaa´ ar-Rahabiy amesimulia kuwa aliingia nyumbani kwa Abu Dharr al-Ghifaariy (Radhiya Allaahu ´anh) akiwa Rabadhah. Pembeni yake alikuwepo mwanamke mweusi mwenye njaa. Akasema:
”Je, hamuoni yale anayoniamrisha mwanamke huyu mweusi?”[1]
[1] Ahmad, Ibn Sa´d na Abu Nu´aym kwa cheni ya wapokezi nzuri. Imesimuliwa kupitia njia nyinginezo.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 98
- Imechapishwa: 26/09/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)