Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qunuut katika Witr kwenye swalah ya Tarawiyh? Je, Qunuut inaweza kusomwa mwezi mzima?
Jibu: Qunuut imewekwa katika Shari´ah, khaswakhaswa katika Ramadhaan. Hapana neno kuisoma Ramadhaan nzima, na hapana vibaya kuiacha Qunuut baadhi ya nyakati. Yote mawili ni vizuri. Yule mwenye kuisoma mwezi mzima, asisimangwe, na yule mwenye kuiacha baadhi ya nyakati, asisimangwe.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 38-39
- Imechapishwa: 02/04/2022
Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qunuut katika Witr kwenye swalah ya Tarawiyh? Je, Qunuut inaweza kusomwa mwezi mzima?
Jibu: Qunuut imewekwa katika Shari´ah, khaswakhaswa katika Ramadhaan. Hapana neno kuisoma Ramadhaan nzima, na hapana vibaya kuiacha Qunuut baadhi ya nyakati. Yote mawili ni vizuri. Yule mwenye kuisoma mwezi mzima, asisimangwe, na yule mwenye kuiacha baadhi ya nyakati, asisimangwe.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 38-39
Imechapishwa: 02/04/2022
https://firqatunnajia.com/47-ni-ipi-hukumu-ya-kusoma-qunuut-katika-witr-kwenye-tarawiyh/