28. Je, inafaa kuswali sunnah baada ya swalah ya Witr?

Swali: Je, inafaa kuswali sunnah baada ya swalah ya Witr?

Jibu: Ikiwa unachelea kutoamka mwishoni mwa usiku basi swali Witr kabla ya kulala. Ukikadiria kuwa utaamka mwishoni mwa usiku basi swali kile kilichokuwepesikia na itakutosha ile Witr uliyoswali mwanzoni mwa usiku. Lakini ukiwa na uhakika wa kuamka mwishoni mwa usiku basi utaichelewesha Witr na utaifanya ndio swalah yako ya mwisho ya usiku. Kwa sababu kufanya hivo ndio bora.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy

´Abdullaah bin Ghudayyaan

Swaalih al-Fawzaan

´Abdul-´Aziyz Aalish-Shaykh

Bakr Abu Zayd

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Swalaat-it-Taraawiyh, uk. 30-31
  • Imechapishwa: 20/04/2022