22. Maneno ya Ibn Munabbih kuhusu mikono ya Allaah

22- Imesihi kutoka kwa Abu Sufyaan, kutoka kwa Wahb bin Munabbih ambaye amesema:

“Viumbe si chochote kwenye mkamato wa Allaah isipokuwa ni kama mbegu ya hardali hapa mikononi mwa mmoja wenu.”[1]

[1] Jaami´-ul-Bayaan (13/228).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 22
  • Imechapishwa: 26/06/2019