21. Maneno ya Ibn ´Abbaas kuhusu mikono ya Allaah

21- Imesihi kupokelewa kutoka kwa ´Amr bin Maalik, kutoka kwa Abul-Juun, kutoka kwa Ibn ´Ababas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ambaye amesema:

“Hazikuwa mbingu saba wala ardhi saba katika kiganja cha Mwingi wa rehema isipokuwa ni kama chembe ya hardali katika kiganja cha mmoja wenu.”[1]

a[1] Jaami´-ul-Bayaan (20/246-248).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 22
  • Imechapishwa: 26/06/2019