23. Maneno ya Ibn ´Abbaas kuhusu mikono ya Allaah

23- Imesihi ya kwamba Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:

“Allaah aliugusa mgongo wa Aadam na akatoa kwenye mkono Wake wa kuume kila kizuri na akatoa kwenye mkono Wake mwingine kila kichafu.”[1]

[1] Jaami´-ul-Bayaan (13/227).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 23
  • Imechapishwa: 26/06/2019