19. Ulikuweje ulinganizi wa kwanza katika Uislamu?

Swali 19: Ulikuweje ulinganizi wa kwanza katika Uislamu?

Jibu: Mwanzo ulingano ulikuwa kisiri kwa takriban miaka mitatu. Baada ya hapo akaamrishwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuutangaza hadharani.

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 96
  • Imechapishwa: 15/09/2023