34 – Sa´iyd bin Abiy Maryam ametuhadithia: Sulaymaan bin Bilaal ametuhadithia: Mu´aawiyah bin Abiy Muzarrid amenikhabarisha, kutoka kwa Yaziyd bin Ruumaan, kutoka kwa ´Urwah, kutoka kwa ´Aaishah, mkewe Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:

”Kizazi ni kama tawi; yule mwenye kukiunga, Namuunga, na yule mwenye kukikata, Namkata.”

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Ismaa´iyl al-Bukhaariy (a.f.k 256)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Birr-ul-Waalidayn, uk. 131
  • Imechapishwa: 13/01/2025