19. Rehema haiwashukii watu ambao miongoni mwao kuna anayekata kizazi

35 – ´Ubaydullaah bin Muusa ametuhadithia: Sulaymaan bin Zayd al-Muhaaribiy Abu Idaam ametukhabarisha: Nimemsikia ´Abdullaah bin Awfaa (Radhiya Allaahu ´anh), kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:

”Rehema haiwashukii watu ambao miongoni mwao kuna anayekata kizazi.”

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Ismaa´iyl al-Bukhaariy (a.f.k 256)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Birr-ul-Waalidayn, uk. 125-126
  • Imechapishwa: 13/01/2025