16. Hadiyth “Misikiti haitakiwi kufanywa ni njia ya wapitaji… “

295 – Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallaam) amesema:

ولا تتخذوا المساجد طُرُقاً إلا لذكرٍ، أو صلاةٍ. وإسناد الطبراني لا بأس به

“Misikiti haitakiwi kufanywa ni njia ya wapitaji isipokuwa kwa ajili ya Dhikr au swalah.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr” kwa cheni ya wapokezi isiyokuwa na neno.

[1] Nzuri na Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/238)
  • Imechapishwa: 16/11/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy