138. ´Aqiydah ambayo waislamu, mayahudi na manaswara wamekubaliana juu yake

37 – Sa´iyd bin ´Aamir adh-Dhwuba´iy (122-208), mwanachuoni wa Baswrah.

183 – ´Abdur-Rahmaan bin Abiy Haatim amesema: Baba yangu amenihadithia: Nimehadithia kutoka kwa Sa´iyd bin ´Aamir adh-Dhwuba´iy, ambaye alisema wakati walipotajwa Jahmiyyah:

”´Aqiydah ni mbaya zaidi kuliko ya mayahudi na manaswara. Mayahudi, manaswara na watu wa dini zingine wamekubaliana na waislamu ya kwamba Allaah (´Azza wa Jall)  amelingana juu ya ´Arshi, lakini wao wanasema ya kwamba juu ya ´Arshi hakuna chochote.”

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 158
  • Imechapishwa: 07/01/2025
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy