13- Muhammad bin ´Aliy bin ´Abdillaah al-Mu´adhdhin ametuhadithia Twuus: Muhammad bin Ahmad al-´Amrawiy ametuhadithia: Tamiym bin Muhammad al-Kaaraziy ametuhadithia na Muhammad bin Muhammad bin Mahbuub na al-Husayn bin ´Umar ametuhadithia: Ahmad bin Muhammad bin Hasnawayh ametuhadithia: Yahyaa bin Idriys ametuhadithia: ´Uthmaan bin Abiy Shaybah ametuhadithia: Jariyr ametuhadithia, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Abuu ´Ubaydah, kutoka kwa Abuu Muusaa (Radhiya Allaahu ´anh) aliyeeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Pazia Yake ni Nuru; lau ataifunua, basi mwanga wa uso Wake ungeliunguza kila anachokiona.”[1]

[1] Muslim (179).

  • Mhusika: Imaam Abu Ismaa´iyl ´Abdullaah bin Muhammad al-Answaariy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Arba´uun fiy Dalaa-il-it-Tawhiyd, uk. 34
  • Imechapishwa: 18/01/2017