12. Hizbiyyuun wanatakiwa kutiwa adabu

Swali 12: Unasemaje kwa mwenye kusema kuwa yeye hautambui ubainisho huu uliyotokea kutajwa hivi sasa?

Jibu: Akitambulika mwenye kusema kuwa hakubaliani nao na akang´ang´ania msimamo wake huu ya kwamba hakubaliani na nchi na Kibaar-ul-´Ulamaa´ anatakiwa kutiwa adabu na kuaziriwa. Huyu ni mlinganizi wa upotevu.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Fataawaa al-Jaliyyah
  • Imechapishwa: 16/07/2017