11- Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Matendo yanazingatia nia[1] na kila mmoja atalipwa kwa kile alichonuia.”[2]

[1] an-Nawawiy amesema:

“Nia ni kusudio. Mswaliji anatakiwa kufikiria kuwa anataka kuswali swalah fulani pamoja na kujiweka tayari na zile sifa inayohusika nazo kama inahusiana na Dhuhr, swala ya faradhi na kadhalika.” (Rawdhat-ut-Twaalibiyn (17224))

[2] al-Bukhaariy, Muslim na wengine. Imetajwa katika ”al-Irwaa’” (22).

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 75
  • Imechapishwa: 13/10/2016