10- Alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akikataza kuswali kwa kulielekea kaburi akisema:
“Msiswali kwa kuyaelekea makaburi na wala msikae juu yake.”[1]
[1] Muslim, Abuu Daawuud na Ibn Khuzaymah (2/95/1). Tazama vitabu vyangu ”Tahdhiyr-us-Saajid min Ittikhaadh-il-Qubuur al-Masaajid” na ”Ahkaam-ul-Janaa-iz wa Bid´auha”.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 74
- Imechapishwa: 13/10/2016
10- Alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akikataza kuswali kwa kulielekea kaburi akisema:
“Msiswali kwa kuyaelekea makaburi na wala msikae juu yake.”[1]
[1] Muslim, Abuu Daawuud na Ibn Khuzaymah (2/95/1). Tazama vitabu vyangu ”Tahdhiyr-us-Saajid min Ittikhaadh-il-Qubuur al-Masaajid” na ”Ahkaam-ul-Janaa-iz wa Bid´auha”.
Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 74
Imechapishwa: 13/10/2016
https://firqatunnajia.com/10-kuswali-kwa-kulielekea-kaburi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)