Swali 10: Ni lini vilikuwa vita vya Fijaar?
Jibu: Vita vya Fijaar vilitokea akiwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na umri wa miaka kumi na nne au kumi na tano. Alikuwa anawaokotea mishale ami zake.
- Muhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 93
- Imechapishwa: 06/09/2023