Swali 8: Ni lini alifariki babu yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ´Abdul-Muttwalib? Alitunzwa na nani baada ya hapo?
Swali: Babu yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ´Abdul-Muttwalib alikufa akiwa na umri wa miaka minane. Baada ya hapo akaangaliwa na ami yake Abu Twaalib. Alimwangalia vyema.
- Muhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 93
- Imechapishwa: 04/09/2023