Malaika ndio viumbe bora kabisa wa Allaah. Lakini hata hivyo Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah wanaonelea kuwa muumini katika wanaadamu ni bora zaidi kuliko Malaika. Hili ni kwa maafikiano ya Ahl-us-Sunnah. Kwa sababu wao wamewajibishiwa kufanya ´ibaadah na hivyo ni wenye kupewa mtihani wa matamanio. Hivyo wao ni bora kwa njia hii muda wa kuwa wataamini na kunyooka sawasawa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah, uk. 12-13
  • Imechapishwa: 16/10/2024