04. Hadiyth “Swalah tano, swalah ya ijumaa hadi swalah ya ijumaa nyingine… “

353 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia pia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

الصلوات الخمس، والجمعة إلى الجمعة، ورمضان إلى رمضان كفارات لما بينهن إذا اجتنب الكبائر

“Swalah tano, swalah ya ijumaa hadi swalah ya ijumaa nyingine, Ramadhaan hadi Ramadhaan nyingine, ni kifutio cha madhambi kwa yalio kati yake muda wa kuwa mtu anajiepusha na madhambi makubwa.”[1]

Ameipokea Muslim, at-Tirmidhiy na wengineo.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/263)
  • Imechapishwa: 01/12/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy