386 – ´Ubaadah bin as-Swaamit (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:

ما مِن عبدٍ يسجدُ لله سجدةً؛ إلا كَتبَ اللهُ له بها حسنةً، ومحا عنه بها سيئةً، ورفَع له بها درجةً، فَاستكثِروا مِن السجودِ

“Hakuna mja ambaye anamsujudia Allaah sijda, isipokuwa Allaah humwandikia kwayo jema, akamfutia kwayo kosa na akamnyanyua kwayo ngazi. Hivyo basi, hakikisheni mnakithirisha Sujuud.”[1]

Ameipokea Ibn Maajah kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.

[1] Swahiyh kupitia zingine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/278)
  • Imechapishwa: 24/11/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy