583- Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza kwamba Mtume wa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Suurah “al-Ikhlaasw” ni sawa na theluthi moja ya Qur-aan na Suurah “al-Kaafiruun” ni sawa na robo ya Qur-aan.”
Alikuwa akizisoma katika Rak´ah mbili za kabla ya Fajr.”[1]
Ameipokea Abu Ya´laa kwa cheni ya wapokezi nzuri na at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr” na tamko ni lake.
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/379)
- Imechapishwa: 08/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket