Sujuud ya kusahau ni ibara ya sijda mbili ambazo anasujudu mwenye kuswali ili azibe kosa lililopatikana katika swalah yake kwa ajili ya kusahau. Sababu zake ni tatu:

1-  Kuzidisha kitu katika swalah.

2 – Kupunguza kitu katika swalah.

3 – Kuwa na shaka juu ya swalah.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sujuud-us-Sahw, uk. 142
  • Imechapishwa: 07/04/2022