02. Hadiyth “Nilikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na nikaswali pamoja naye Maghrib… “

590 – Hudhayfah (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:

“Nilikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na nikaswali pamoja naye Maghrib; akaswali mpaka ´Ishaa.”[1]

Ameipokea an-Nasaa´iy[2] kwa cheni ya wapokezi nzuri.

[1] Swahiyh.

[2] Bi maana katika ”as-Sunan al-Kubra (8298). Pia ameipokea at-Tirmidhiy, Ibn Hibbaan na wengineo. Kadhalika imetajwa katika “as-Swahiyhah” (02/425). Ahmad (05/404) ameipokea kwa ufupi kwa tamko lisemalo:

“Hakuacha kuendelea kuswali mpaka aliposwali ´Ishaa. Kisha akatoka nje.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/382)
  • Imechapishwa: 30/03/2021
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-