01. Hadiyth “Hakika Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anapomaliza kuswali ´Ishaa… “

Katika mlango huu zipo Hadiyth nyingi, ikiwa ni pamoja na:

591 – “Hakika Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anapomaliza kuswali ´Ishaa na akarudi nyumbani kwake basi huswali Rak´ah nne.”[1]

[1] Swahiyh. Kitendo hichi kimethibiti katika Hadiyth ya Ibn ´Abbaas na nyenginezo ambazo zimepokelewa na al-Bukhaariy na wengineo. Imetajwa katika “Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (1216, 1218 na 1228).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/383)
  • Imechapishwa: 30/03/2021
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy