01. Hadiyth “Walikuwa wakibaki macho kati ya Maghrib na ´Ishaa… “

589- Anas (Radhiya Allaahu ´anh) amesema kuhusu maneno Yake (Ta´ala):

تَتَجَافَىٰ جُنُوبُهُمْ عَنِ الْمَضَاجِعِ

“Mbavu zao zinaachana na vitanda.”[1]

“Imeteremshwa juu ya kusubiri swalah inayoitwa “´Atamah”.”[2]

Ameipokea at-Tirmidhiy ambaye amesema:

“Hadiyth ni nzuri, Swalah na geni.”

Kwa Abu Daawuud imekuja:

“Walikuwa wakibaki macho kati ya Maghrib na ´Ishaa wakiswali.”[3]

al-Hasan[4] amesema:

“Inazungumzia kisimamo cha usiku.”

[1] 32:16

[2] Swahiyh.

[3] Swahiyh.

[4] Bi maana al-Hasan al-Baswriy.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/382)
  • Imechapishwa: 30/03/2021
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy