Swali: Ni sahihi kununua bidhaa kwa pesa ya wizi?

Jibu: Hapana. Ununuzi huo si sahihi kwa sababu pesa ni ya haramu. Bidhaa zilizoibiwa ni mali ya haramu. Kwa hivyo ni ununuzi ambao si sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 21/04/2021