Alikuwa akiitwa Abu Zakariyyah Yahyaa bin ´Awn bin Yuusuf al-Khuzaa´iy al-Qayrawaaniy al-Maalikiy. Baba yake alikuwa ni ´Awn bin Yuusuf ambaye alikuwa ni mwanachuoni mkubwa wa Maalikiyyah.

Moja katika maneno yake ni:

“Viumbe wote ni maadui wa watu. Watu wote ni maadui wa waislamu. Watu wote ni maadui wa Ahl-us-Sunnah.”

Baadhi ya wanachuoni wamesema:

“Alikuwa ni mkali kwa Ahl-ul-Bid´ah na alikuwa ni mwenye kushikamana na Sunnah.”

Abu Zakariyyah amezaliwa 211 na kufariki 298.

  • Mhusika: Shaykh ´Abdus-Salaam bin Barjas Aal ´Abdil-Kariym
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Taariykh Tadwiyn-il-´Aqiydah as-Salafiyyah, uk. 72
  • Imechapishwa: 06/09/2020