Swali: Mama yangu alimnyonyesha shangazi yangu. Je, inajuzu mtoto wa shangazi yangu kumuoa msichana wangu?
Jibu: Hapana. Haijuzu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/iglhfn-21011435-01.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020