Swali: Inatokea wakati mwingine baadhi ya wenye kununua kwenye mtandao. Wanaona picha za bidhaa…
Jibu: Ununuzi wa kwenye mitandao unaingiliwa na ghushi, uwongo na mengine mengi. Haitoshi kuona picha peke yake kwenye mtandao. Haitoshi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
- Imechapishwa: 04/02/2022