Swali: Mwenye kufikiria talaka na asiitamke, bali ameweka nia tu na kufikiria – je, inapita?
Jibu: Talaka haipiti isipokuwa kwa kuitamka na hali ya kutaka kwake mwenyewe na i mwenye kulazimishwa. Katika hali hii talaka inapita. Ama kufikiria peke yake ndani ya nafsi yake, hakupita kitu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 26/05/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket