Usijiingize katika matatizo ya kindoa ya wengine

Swali: Katika nchi yetu sababu nyingi za talaka zinatokana na familia ya mume na mke kuingilia maisha yao ya kindoa. Unawanasihi kitu gani?

Jibu: Haijuzu kwa yeyote kumfitinisha mwanamke kwa mume wake:

”Si katika sisi yule mwenye kumfitinisha mwanamke au kijakazi kwa bwana wake.”[1]

Haijuzu kufanya hivo.

[1] Abu Daawuud (2175). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan Abiy Daawuud (2175).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 26/05/2023