Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kuomba talaka, na khaswa wale wanawake wanaofanya hivo kwa wingi, ni mamoja kuna sababu au pasi na sababu?

Jibu: Hadiyth inasema:

”Mwanamke yeyote ambaye ataomba talaka pasi na sababu basi ni haramu kwake harufu ya Pepo.”[1]

Haifai kwake kuomba talaka bila ya sababu.

[1] Abu Daawuud (2226). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan Abiy Daawuud (2226).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 26/05/2023