Swali: Mwenye kufa kabla ya kujitokeza al-Masiyh ad-Dajjaal anakuwa amesalimika na fitina yake?
Jibu: Huyu amesalimika naye na himdi zote ni Zake Allaah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montqa14340202.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020