Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kukata nywele zake?

Jibu: Haijuzu. Haijuzu kwake kukata nywele zake. Hakuamrishwa hata kuzikata nywele zake katika hajj na ´umrah isipokuwa kiwango sawa na ncha ya kidole. Katika hali hii ndipo anatakiwa kukata kiwango sawa na ncha ya kidole kwa juu au akiwa amesuka. Hata hivyo haijuzu kwake kujikata kwa lengo la kujipamba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017