Swali: Ni ipi hukumu kwa mwanamke kuzipaka rangi nywele zake ikiwa rangi hiyo sio nyeusi?
Jibu: Ni sawa ikiwa nywele ni mvi. Ikiwa sio mvi asizitie rangi. Katika hali hii aziache. Asizibadilishe kuzitoa katika rangi ya asli na kuzitia rangi nyingine. Mvi tu ndio zinatakiwa kutiwa rangi isipokuwa rangi nyeusi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Ni ipi hukumu kwa mwanamke kuzipaka rangi nywele zake ikiwa rangi hiyo sio nyeusi?
Jibu: Ni sawa ikiwa nywele ni mvi. Ikiwa sio mvi asizitie rangi. Katika hali hii aziache. Asizibadilishe kuzitoa katika rangi ya asli na kuzitia rangi nyingine. Mvi tu ndio zinatakiwa kutiwa rangi isipokuwa rangi nyeusi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/hapa-ndipo-itajuzu-mwanamke-kupaka-nywele-rangi/